Jinsi Nilivyotengeneza MILLIONS kupitia forex trading | Nilikuwa sina hata pesa ya kula

Your video will begin in 10
Skip ad (5)
IA Yourtube Master rapport

Thanks! Share it with your friends!

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Added by
1 Views
Katika video hii, Emmanuel Cheleo anashare kwa uhalisia safari yake ya kutoka kwenye changamoto kubwa za kifedha hadi kuwa trader mwenye mafanikio. Utajifunza mbinu alizotumia kubadilisha maisha yake kupitia forex trading – mindset, consistency, na real strategies.

Follow Us on Social Media to learn more:

[ https://www.instagram.com/intelligencefx? ]

Contact us : http://wa.me/255625554222

‎Whatsapp channel : https://whatsapp.com/channel/0029VavmqisBA1f6yXx1Iw1o

Timestamps:

00:00 - Intro
01:30 - Nilivyosikia forex, kutapeliwa kwenye ponze scheme
02:30 - Maisha baada ya kumaliza chuo
04:10 - Deposit yangu ya kwanza
07:58 - Nilivyochoma account kwa mara ya pili
09:20 - nlipotia magumu, nilikonda
10:45 - Nilitafuta ajira nikakosa
12:45 - Nilivyopata mentor sahihi
13:10 - Mazingira magumu, nilisoma huku nakaa chini
13:25 - Rafiki alinipa mtaji
13:50 - Faida yangu ya kwanza kupata kwa ujuzi
15:15 - Ushauri alionipa Amrisaly nilivyomtembelea ofisini kwake
16:10 - Niliona faida kubwa, nikatetemeka, nika-paniki na ku-sweat
17:15 - Nikapata kazi ya ufundi mikanda ya gypsum
19:45 - Muda wa kulipa kodi nikawa sina pesa, nikaweka pembeni forex
20:50 - Kupata kazi ya wakala - IntelligencePay
20:20 - Nilivyopata account ya $5000, nikapass challange | utulivu
23:40 - Withdraw yangu ya kwanza
24:55 - Withdraw yangu ya pili $1000
25:35 - Withdraw yangu ya tatu - $500+
26:10 - Forex inahitaji utulivu wa hali ya juu sana
27:45 - Natamani ningefanya maamuzi mapema
28:00 - kitu rahisi ku-master kati ya technical na psychology
29::44 - Nilikatishwa tamaa
30:27 - Namna ya ku-bridge gape kati ya technical and psychology | Risk management
30:40 - Ushauri alionipa Amrisaly kuhusu risk management
32:13 - Planning Vs Emotions | ukifanya hii mistake utarudi kule kuke
33:39 - Ushauri wangu kwa anaepitia changamoto ya kutokueleweka kwa wazazi
35:28 - this is how i handle profits and losses
37:51 - Impact mbaya ya social media
39:15 - Ni hatari kuacha kazi ili kufanya trading, this is why
41:12 - Unatamani kufanya trading lakini huna muda?
41:55 - Utofauti wa community 2022 na sasa
44:20 - Experience yangu ya meet-up | IntelligenceFx app
46:33 - kwanini prop firm over personal capital
47:36 - my plans
48:36 - Je kuna haja ya kuwa kwenye community kama tayari nimeshakuwa profitable?
49:51 - kujifunza vitu nje ya trading
50:45 - Ushauri wangu kwa members wapya ya IntelligenceFx
52:25 - Program zinazonivutia
53:56 - This is where i see myself in 5 years
56:12 - This is how i trade in few sentences
Category
Trading Online & Forex Online

Post your comment

Comments

Be the first to comment